
Mvutano kati ya Marekani na Venezuela umeongezeka katika miezi ya hivi karibuni, hali iliyosababisha kutekwa kwa kiongozi wa nchi hiyo, Nicolás Maduro, kwa tuhuma za biashara ya dawa za kulevya na ugaidi.
Kusikiliza matangazo, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi: [email protected]